البحث

عبارات مقترحة:

المحسن

كلمة (المحسن) في اللغة اسم فاعل من الإحسان، وهو إما بمعنى إحسان...

القهار

كلمة (القهّار) في اللغة صيغة مبالغة من القهر، ومعناه الإجبار،...

Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w)

السواحلية - Kiswahili

المؤلف Qasim Mafuta ، Abubakari Shabani Rukonkwa
القسم دروس ومحاضرات
النوع صوتي
اللغة السواحلية - Kiswahili
المفردات أصول الفقه - الأمر بالمعروف والنهي عن المنكر
1- Mada hii inazungumzia: Sheria aliyokuja nayo Mtume (s.a.w) na kwamba ndiyo iliyokuja kufuta sheria za nyuma, na kwamba nisheria inayo simamia haki zote, pia inazungumzia umuhimu wa kuamrisha mema na kukataza mabaya. 2- Mada hii inazungumzia: Faida na muhimu wa mahakama ya Qadhi na kwamba sheria ya kiislam inajulikana duniani, pia imezungumzia waislam kuwa na tahadhari kutokana na maadui wa uislam. 3- Mada hii inazungumzia: Uislam siyo dini ya daraja la pili na kwamba imefika wakati waislam tubadilike na tuishike dini yetu, pia tuhamasishane katika dini na ucha Mungu tuache hamasa zisizo na faida katika dini yetu.

المرفقات

3

Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w) 1
Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w) 2
Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w) 3